Nesi Feki Anaswa Akitembezwa Mtupu mtaani baada ya kukamatwa akiiba kichanga hospitali |
Aibu
Kubwa ya Kusikitisha, Kilichomkuta Dada Huyu Ama kwa hakika hawezi
Kusahau Maishani Mwake . Nesi Feki Ambaye Alinaswa Akiiba Mtoto
Hospitalini Huko Nchini Ghana.
Tukio
Hilo Lilitokea Wakati Dada huyo Alipoamua Kuvalia Sare za Hospitali
kama Nesi na Kuamua Kuingia Wodi Ambayo Watoto Waliotoka Kuzaliwa
Huhifadhiwa Kwa Muda kabla ya Kukabidhiwa kwa Mama zao.
Baada
ya Kufaulu Mtihani huo na Kuweza Kujipenyeza hadi kwenye Wodi Hiyo ,
Nesi Feki Huyo Alimchukua Mmoja Kati ya Watoto Aliyeonekana Kuvtiwa nae
na Kumficha Kwenye Begi Lake Akioekana kama Vile Amebeba Nguo.
Balaa Lamkuta
Balaa
Lilimkuta Dada Huyo Kipindi Ambacho Alikuwa Akijaribu Kutoka Nje ya
Hospitali Hiyo na Kwa Bahati Mbaya Mtoto Aliyekuwa Amemficha Ndani ya
Begi Lake Akaanza Kulia Kwa Nguvu.
Mshangao
Walinzi wa Hospitali Ilibidi Kumzuia Kwa Muda Dada Huyo (Nesi Feki)
Ili Kuweza Kumkagua na Kuona ni Kitu Gani Kilichopo Ndani ya Begi
Alililokuwa Amelishikilia. Ndipo Kwa Mshangao Mkubwa Walinzi Walipomwona
Mtoto huyo Mchanga Akiwa Ndani ya Begi Huku Akitapatapa Kutafuta Pumzi.
Atembezwa Mtupu
Wananchi
wenye Hasira Kali Walianza Kumvamia kwa Kumpiga Bila Huruma na
Kufanikiwa Kumvua Nguo zake na Kuanza Kumtembeza Barabarani. Hii Ni Aibu
Kubwa Kuwahi Kuipata dada huyo Ambapo Wengi wamelihusisha Tukuio Hilo
na Dhamira ya Kufanya Vitendo vya Kishirikina.
Social Plugin