TAZAMA HAPA BAISKELI INAYOTUMIKA KUSAMBAZA SAMPLE YA MBEGU ZA KIUME
Tuesday, February 25, 2014
Biskeli
maalumu yenye mtungi wa kuifadhia mbegu za kiume kwa ajili ya samples
kwa wateja wenye shida ya kushika mimba. Bank ya mbegu za kiume katika
mji wa Copenhagen huko ulaya utumia baiskeli kama hizi kuwafikishia
wateja mbegu hizo popote walipo ndani ya mji huo wa Copenhagen. Hapa
jamaa akiwaisha order kwa mteja hili afanikishe shida yake, wanasema
kutumia baiskeli kunaraisisha kufikia wateja kwa haraka bila usumbufu
wa traffic kama wangetumia magari.
Hapa
mbegu zikiandaliwa tayari kwa kumfikishia mteja, Mtungi huu unatakiwa
utunze mbegu hizo kwenye ubaridi wa -350 Degrees 'F hili kuwa sahii
kwa mteja kufanikisha marengo. Mtungi huu unao uwezo wa kubeba Kg 250
sawa na pound 550.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin