WAFANYABIASHARA SHINYANGA MJINI WAFUNGA MADUKA KUPINGA MASHINE ZA TRA
Tuesday, February 11, 2014
Maduka yakiwa yamefungwa tangu asubuhi ya leo mjini Shinyanga baada ya wafanyabiashara kufunga maduka yao wakipinga mashine za kutolea risiti (EFD)za mamlaka ya mapato TRA nchini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin