Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

FILAMU YA ANCLE JJ YA MAREHEMU KANUMBA YAENDELEA KUUZIKA ZAIDI

Steven
Filamu ya Marehemu Steven Kanumba ‘Uncle JJ’ Bado inafuatiliwa na kununuliwa na wapenzi wa filamu za Tanzania.

Hii nimekutana nayo kwenye duka moja maarufu Kariakoo kwa kusambaza filamu za Tanzania kwa mawakala tofauti nje na ndani ya Dar es salaam.
Hizi ni filamu zenye mauzo zaidi kwa sasa kwenye maduka tofauti Tanzania.
1] Bado Natafuta – Salim Ahmed
2] Danija – JB
3] Gumzo – Majuto
4] Hard Price – Ray
5] Snitch – Rammy
6] Rent House – Majuto
7] Steve Kanumba – Uncle JJ

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com