Msichana mwenye umri wa miaka 19 anayetapika pesa na vyuma.
Pesa zilizotapikwa na msichana huyo.
Msichana (katikati)akijiandaa kutapika.
Vipande vya misumari vilivyotapikwa na msichana huyo.
MSICHANA mwenye umri wa miaka 19, ambaye jina lake halikuweza
kupatikana mara moja, anatapika pesa, vyupa, misumari, mayai na pini
akiwa kanisani nchini Ghana.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana huyo alitoweka nyumbani
kwao kwa muda wa wiki moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea
ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo vinavyohisiwa kuwa vinatokana na
imani za kishirikina.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com