Askari wa
kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan
'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu
kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.
Tukio
hilo lilitokea jana wakati Askari Huyo alipokuwa Eneo la Kituo cha
kushusha Abiria Kwenye Shule ya Msingi Ya Mtawala Mkoani hapa
Kwa sasa
Afande huyo
imelazwa wodi namba moja hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Na Jafe Jackson
Social Plugin