Askari wa
usalama barabarani (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva bodaboda
eneo la vingunguti jijini Dar es salaam.
Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa,
tukio hilo limetokea jana majira ya mchana wakati dereva huyo alipokutana
na askari akiwa amebeba abiria wawili maarufu kama"mshikaki".
Imeelezwa kuwa baada ya
askri huyo kutaka kupata maelezo ya kina kutoka kwa dereva huyo, ndipo
ikatokea hali ya kutoelewana kati yao ndipo askari huyo aliamua kumzaba
kibao na kumjeruhi kama picha unavyoona picha ya jamaa hapo juu.
Na Haruni Sanchawa-Dar
Social Plugin