Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Walid Kaborou akimkaribisha Katibu Mkuu wa
CCM Abdulrahman Kinana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma. Pichani nyuma
ni Mjumbe wa NEC,Balozi Ali Karume walipowasili jioni ya leo kwa ziara
ya siku tano mkoani Kigoma.
Viongozi
mbalimbali wa ngazi za juu za chama cha CCM Taifa na Mkoa wakiwa uwanja
wa ndege mapema leo jioni ,mjini Kigoma wakimsubiri kumpokea Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Dk.
Kaborou wakati akipita katika paredi la UVCCM alipopokelewa Uwanja wa
Ndege wa Kigoma jioni ya leo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu wa NEC
Siasa,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye,Mkuu wa mkoa wa Kigoma,Kanali
Mstaafu Issa Machibya na Kamanda wa Vijana na Mchumi wa CCM mkoa wa
Kigoma,Ndugu AbdulKadir Mushi mara alipowasili jioni ya leo kwenye
uwanja wa ndege wa Kigoma.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa
Kigoma,Kanali Mstaafu Issa Machibya jioni ya leo mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma.
Sehemi ya Waendesha boda boda wakiupokea msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana mapema leo jioni,mara baada ya kuwasili mjini Kigoma.
Social Plugin