Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Heeeh!!! KUTANA NA MWANAMAMA HUYU ANAYEWAFANYIA MASAJI WANAMME KWA KUTUMIA MATITI YAKE

Kristy love Akiwa kazini
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe yenye mafanikio ya kuwa-massage wanaume kwa kutumia maziwa yake yenye ukubwa wa kutosha!


Kristy love ambaye anatokea Atlanta Georgia ametumia mwaka mzima
kujifunza kazi hiyo ila sasa anavuna mapesa mengi kwa siku baada ya kuwafanyia massage wateja wake kwa maziwa yake makubwa.
"Nilipomaliza shule ya massage hakuna aliyetaka kuniajiri..nilikuwa naulizwa kama naweza kusimama siku nzima wakifikiria uzito wangu utakuwa kikwazo,hamna mtu aliyeenita'' alisema Kristy 
 "Nikaamua kuanza kufanyia watu nyumbani na mteja mmoja aliwahi kuniambia nipandishe blauzi nikamwambia sifani mambo hayo,nilikuwa naona aibu kwa sababu ya mwili wangu mkubwa! lakini nikagundua huenda kuna kitu kwenye maziwa ukiamua kuyatumia kwa massage..nikaweka tangazo kwenye gazeti simu zikawa zinamiminika'' alisema  
"Mwanzo ilikuwa ngumu sana kutokana na umbile langu nikawa nazima taa wakati nikimfanyia mteja massagelakini siku zilivyoenda nikawa najiamini zaidi"
 Kristy yupo singo na haoni aibu kwa mwili alionao japo madaktari wanamshauri kuwa unaweza kumletea matatizo kama ya moyo siku za usoni

Anasema huwa anazingatia kuangalia mteja wake kama anapumua vizuri pindi anapokuwa kamlalia anam-massage

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com