Kristy love Akiwa kazini |
Baada
ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa
alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe yenye mafanikio
ya kuwa-massage wanaume kwa kutumia maziwa yake yenye ukubwa wa kutosha!
Kristy love ambaye anatokea Atlanta Georgia ametumia mwaka mzima
kujifunza kazi hiyo ila sasa anavuna mapesa mengi kwa siku baada ya kuwafanyia massage wateja wake kwa maziwa yake makubwa.
Kristy love ambaye anatokea Atlanta Georgia ametumia mwaka mzima
kujifunza kazi hiyo ila sasa anavuna mapesa mengi kwa siku baada ya kuwafanyia massage wateja wake kwa maziwa yake makubwa.
"Nilipomaliza
shule ya massage hakuna aliyetaka kuniajiri..nilikuwa naulizwa kama
naweza kusimama siku nzima wakifikiria uzito wangu utakuwa kikwazo,hamna
mtu aliyeenita'' alisema Kristy
"Nikaamua
kuanza kufanyia watu nyumbani na mteja mmoja aliwahi kuniambia
nipandishe blauzi nikamwambia sifani mambo hayo,nilikuwa naona aibu kwa
sababu ya mwili wangu mkubwa! lakini nikagundua huenda kuna kitu kwenye
maziwa ukiamua kuyatumia kwa massage..nikaweka tangazo kwenye gazeti simu zikawa zinamiminika'' alisema
"Mwanzo
ilikuwa ngumu sana kutokana na umbile langu nikawa nazima taa wakati
nikimfanyia mteja massagelakini siku zilivyoenda nikawa najiamini zaidi"
Kristy
yupo singo na haoni aibu kwa mwili alionao japo madaktari wanamshauri
kuwa unaweza kumletea matatizo kama ya moyo siku za usoni
Anasema huwa anazingatia kuangalia mteja wake kama anapumua vizuri pindi anapokuwa kamlalia anam-massage