|
Moja ya majengo katika hospitali ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga iliyopo katika eneo la Mhunze,inayotarajiwa kuanza kutumika mwezi Julai mwaka huu
|
|
Ni katika ziara yya a siku moja mwenyekiti wa ccm mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja( wa pili kutoka kulia),jana wilayani kishapu mkoani Shinyanga,akiwa ameongozana na baadhi ya wajumbe wa siasa
ya mkoa, iliyolenga kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ,hapo anasomea taarifa kuhusu ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kishapu muda mchache baada ya kuwasili eneo hilo kutembelea mradi huo na kuona umefikia hatua gani |
|
Kulia ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja,mbele ni katibu wa siasa na uenezi ccm mkoa wa Shinyanga ndugu Emmanuel Mlimandago,katikati ni mkuu wa wilaya ya Kishapu Wilson Nhambaku wakiangalia jinsi ujenzi wa hospitali ya wilaya unavyoendelea |
|
Hili ni jengo jingine katika hospitali ya wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga |
|
Hii ni sehemu ya
kuoshea maiti katika jengo la mochwari katika hospitali ya wilaya ya Kishapu
mkoani Shinyanga.
|
|
Msafara wa
mwenyekiti wa ccm mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja wakati wa ziara yake wilayani
Kishapu ukitoka kuangalia Jengo la mochwari ambako ndugu zetu walitangulia
mbele za haki watakuwa wanaoshwa.
|
|
Jengo jingine likiendelea kujengwa katika hospitali ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga |
|
Mkuu wa wilaya ya
Kishapu Wilson Nkhambaku akishiriki ujenzi wa moja ya wodi ya wazazi katika jengo la
hospitali ya wilaya ya Kishapu inayotarajiwa kuanza kutumika mwaka huu.
|
|
Mwenyekiti wa ccm
mkoa wa Shinyanga akishiriki ujenzi wa jengo kwa ajili ya wazazi alipokuwa
kwenye ziara yake ya siku moja wilayani Kishapu kukagua utekelezaji wa ilani ya
chama cha mapinduzi ya mwaka 2010.Akiwa katika ziara yake wilayani Kishapu
Mgeja alikuwa ameambatana na viongozi wa kamati ya siasa mkoani humo.
|
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com