HUYU HAPA NDIYO KAKABIDHIWA MIKOBA YA MOYES ALIYETIMULIWA KAZI LEO
Tuesday, April 22, 2014
Kutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester United wamemtangaza
Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin