KUHUSU GARI ILIYOTUMBUKIA BAHARINI BAADA YA KUTELEZA- DAR ES SALAAM
Saturday, April 26, 2014
Gari aina ya Pick Up imezama maji jana
asubuhi kwenye feri ya Dar es salaam
baada ya dereva kushindwa kulizua gari
hilo kuteleza wakati anasubiri Pantoni. Inasemekana alishindwa kufunga Break.
Credit:Sammisago.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin