Sir Alex Ferguson ni kati ya waliopitisha uamuzi wa kumtimua kocha David Moyes licha ya kwamba ndiye aliyemchagua apewe nafasi ya kuifunsisha Manchester United.
Imeelezwa Ferguson alishiriki kwenye kikao hicho kilichofanyika kwenye hoteli moja jijini Manchester.
Baada ya kikao hicho cha mwisho na Ferguson, ndiyo uamuzi wa mwisho kwamba Moyes atimuliwe.
Kikao hicho kilimjumuisha Ferguson na Bosi wa Man United, Ed Woodward saa 1:40 na baada ya hapo Moyes akapigwa panga.
Social Plugin