Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

LUGHA ZINGINE BWANA!!! HEBU TAZAMA HII HAPA

 Lugha zilizoandikwa kwenye magari wakati mwingine zinafurahisha na kutoa funzo kubwa kama utafikiri kwa undani zaidi,haya ni maneno yaliyoandikwa kwenye gari moja,ya kitambo sana wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ambapo kamera za Malunde1 blog zilifanikiwa kuyanasa....Na wewe chukua time kufikiria ujumbe huuu



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com