Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MTOTO WA MIAK 8 AKUSANYA MAMIA YA WATU HUKO BRAZIL,ANA UWEZO WA KUKEMEA MAPEPO,TAZAMA PICHA NA VIDEO HAPA



Binti
wa miaka nane aitwaye Alani Santos kutoka mji wa San Gonzalo nchini
Brazil ameendelea kukusanya mamia ya watu kutoka sehemu mbalimbali
nchini kwake ambao hufika kanisani anakoabudu ambako baba yake ni
mchungaji ili waombewe na binti huyo anayeaminika kuwa na nguvu za ajabu
za kukemea mapepo na kuponya magonjwa akitumia jina la Yesu.Katika
mji anaotokea binti huyo unaweza kufananisha na Mbeya kwa hapa Tanzania
kutokana na kuwa na utitiri wa makanisa licha ya kwamba nchi hiyo
kwasasa inakabiriwa na tishio la watu kutopenda masuala ya kiimani
kwasasa. Brazil taifa ambalo linasifika kuwa la Kikristo wa kanisa la
Katoliki, limekuwa na vipaji mbalimbali kupitia watoto akiwemo kijana
Jotta A ambaye uwezo wake wa kuimba ni wa ajabu kiasi cha hata
kuwashangaza waimbaji wakubwa maarufu duniani.

TAZAMA VIDEO YAKE HAPA CHINI



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizXh1vohS9WQTjrnptV0JVLyAjc3GAe8qH-IBnkprtSRder6U_1YCcBv5FlRjbMY2XmDbkweAHjS-mOr82T5KqEGHl7mD03ifFJ4Y3bt2jfhFtot2YGNea5ITgVC12nORGgFW8edg00sU/s3200/alani.jpg

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com