Makubwa haya!!! MTOTO AZAA NA MTOTO MWENZIE,YADAIWA WAKO KWENYE MAHUSIANO YA KIMAPENZI KWA ZAIDI YA MWAKA MMOJA
Friday, April 18, 2014
Katika hali ya kushangaza huku wengine wakidhani pengine ni laana,huko nchini Uingereza mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 13 amempatia ujauzito mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12,ambapo inadaiwa watoto hao wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa zaidi ya mwaka mmoja na kupelekea kuanza majukumu ya baba na mama .Inadaiwa kuwa watoto hao pengine huenda wakawa ndiyo wazazi wenye umri mdogo zaidi duniani.
Social Plugin