Kushoto ni mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Hassan Hamis akiwakilisha watoto wenzake akipokea zawadi ya mbuzi wawili(mmoja hayupo pichani) kutoka familia ya Mwalongo |
Kushoto ni mzee Samwel Maganga mwenyekiti wa kambi ya wazee Kolandoto akipokea mbuzi kutoka katika familia ya Mwalongo ya mjini Shinyanga-PICHA ZOTE KWA HISANI YA MARCO MADUHU |
Social Plugin