Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Michepuko sio dili!!! MKE AMTEMBEZA MME WAKE KAMA MBWA KWA SIKU TATU BAADA YA KUMFUMANIA NA MWANAMKE MWINGINE,TAZAMA PICHA HAPA


Mapenzi muda mwingine yanakuwa na vituko vyake na vinapotokea huwashangaza na kuwaacha watu midomo wazi.


Mama huyu alimfumania mmewe na mwanamke mwingine na mumewe alianza kuomba msamaha na ndipo mama huyu aliamua kumsamehe ila kwa kumpa adhabu mumewe na adhabu yenyewe ndiyo kama hiyo unayoiona ya kumtembeza mumewe kama mbwa kwa muda wa siku 3

Kama wewe unaweza kukubali kufanyiwa hivyo na wewe mwanamke unaweza kumfanyia hivyo mpenzi wako/mumeo?? toa maoni yako hapo chini.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com