Mtoto wa majabu azaliwa nchini cameroon, amezaliwa akiwa na jicho moja ndani ya hilo jocho kuna macho mawili, pia amezaliwa akiwa hana pua wala mdomo na amezaliwa na jinisia mbili.
Naalipo zaliwa tu haikuchukuwa muda mrefu akafariki dunia, sababu hakuwa na uwezo wa kupumua.
Social Plugin