Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Mvua za Dar!! MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, KAMANDA KOVA, MAGUFULI NA MKUU WA MKOA WA DAR WANUSURIKA KIFO KWA AJALI YA HELKOPTA

Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na kamanda Kova wamenusurika kufa katika ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm.
walionusurika ni
1. Makamu wa Rais, Dr. Bilal
2. Mkuu wa mkoa wa Dar, Sadik
3. Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Kova
Wamepata majeraha kidogo walikuwa wakikaguwa athari za mvua jijini
Taarifa kamili itakujia.....

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com