PICHA- BASI LA LUHUYE LILILOPATA AJALI HUKO SIMIYU NA KUUA WATU 12
Tuesday, April 22, 2014
Picha ya basi la LUHUYE lililogonga nyumba na kupinduka na kusababisha vifo vya watu kumi na moja waliofariki papo hapo,na mwingine wa kumi na mbili kufariki katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin