Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PICHA- BASI LA LUHUYE LILILOPATA AJALI HUKO SIMIYU NA KUUA WATU 12

Picha ya  basi la LUHUYE lililogonga nyumba na kupinduka na  kusababisha vifo vya watu kumi na moja waliofariki papo hapo,na mwingine wa kumi na mbili kufariki katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com