PAPA JOHN PAUL WA PILI ambaye aliwai kuja Tanzania miaka ya 90 na PAPA JOHN WA ISHIRINI NA TATU WAMETAWAZWA KUWA WATAKATIFU!
TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA
Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican
Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.
Mapaparazi wakiwa kazini wakati wa zoezi hilo.
Mapadre wakiwa wamebeba picha za watakatifu Papa John Paul II (kulia) na John XXIII (kushoto).
Papa Francis akiwasalimia waumini waliohudhuria ibada hiyo.
Social Plugin