Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim akiweka shada la maua katika kaburi la
aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiweka shada la maua katika kaburi la
aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe SokoineMwakilishi wa Ujumbe wa wajumbe wa Bunge Maalum Mhe. Paul kimiti akiweka shada la Maua katika kaburi la
aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akishiriki misa maalum ya kumbukumbu ya
miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward
Moringe Sokoine iliyofanyika nyumbani kwake Monduli. Kulia kwake ni
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenera
Mkungara, na motto wa Marehemu sokoine Ndugu Joseph SokoineRais
Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa, Spika wa Bunge
Mhe. Anne Makinda na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowasa, wakishiriki
Misa maalum ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha SokoineSpika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Jamhuri wa Tanzania
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili kushiriki misa ya
kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine
Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi na wajane wa hayati Edward Moringe Sokoine pamoja na baadhi ya viongozi wa kitaifa katika misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine
Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi na wajane wa hayati Edward Moringe Sokoine pamoja na baadhi ya viongozi wa kitaifa katika misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine
Mhe.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la
aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa akiweka shada la
maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward
Moringe Sokoine
Picha na Owen Mwandumbya
Social Plugin