PICHA-SHINYANGA LEO,TAZAMA ZAO HILI LA BIASHARA WILAYANI KISHAPU
Wednesday, April 23, 2014
Katika pita pita zake malunde1 blog imebahatika kuona alizeti hii ikiwa katika shamba la mmoja wa wakazi wa mji wa Mhunze wilayani Kishapu katika mkoa wa Shinyanga.Wakulima wa zao hilo wanasema mbegu hiyo ya alizeti inaitwa Reception (pichani) ,shina moja linakuwa na matawi hadi zaidi ya kumi.Ni nzuri kama unahitaji mapinduzi katika kilimo cha zao hilo kazi ni kwako kuisaka katika maduka ya pembejeo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin