Ukisikia
pombe siyo maji ,ukweli inabidi ubaki pale pale,pichani ni sajenti wa jeshi la
polisi katika kituo cha polisi wilayani Geita aliyejulikana kwa jina moja la
Geradi akiwa amelewa chakali kwenye eneo karibu na barabara kuu itokayo Geita kwenda
Mwanza akiwa hajitambui siku ya mkesha wa pasaka kama unavyoona hapo pichani kamera za
mwandishi wetu kutoka mkoani Geita zilivyomnasa
Pombe bwana!!,tumia kiasi....... |
Social Plugin