Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA LINEX FT OMMY DIMPOZ - Unaitwa "INGO",SOMA HAPA MAANA YAKE


Akielezea maana ya Ingo, Linex amesema “Ni Kiha na maana yake ni Njoo, but ni neno linalotumika kwa makabila mengi East Africa kama Rwanda, Burundi na UG”.
Katika wimbo huo Linex amesema yeye na Ommy wamegawana verse moja moja, huku chorus akisimama mwenyewe na vionjo vya sauti tamu ya Recho vimepita kwa mbali.
Kuhusu mipango ya video ya wimbo huo Sunday Mjeda aka V.O.A amesema tayari amesaini mkataba na Samaki Samaki ambao ndio watakaosimamia video hiyo.
“Pia nimesaini contract na Samaki Samaki Fleva juzi kwaajili ya kushoot video kubwa, so wao ndiyo watakuwa wasimamizi wa video ya ‘Ingo’.
SIKILIZA NGOMA HIYO HAPA
 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com