TAZAMA PICHA ZA MAHAFALI YA KWANZA CHUO CHA UALIMU RICH RICE CHA MKOANI GEITA
السبت, أبريل 26, 2014
Wanafunzi wa chuo cha Ualimu Rich Rice
wakiwa na viongozi wao wakati
wa mahafali ya kwanza katika chuo hicho kilichopo katika kijiji cha Nyankumbu kata ya Kalangalala wilayani
Geita mkoani Geita.Wa tatu kutoka kulia ni elimu sekondari halmashauri ya mji wa Geita bwana Christopher
Ichele akifuatiwa na mkuu wa chuo hicho bwana Sindano Masanja wakati wa
mahafali hayo jana
Wanafunzi takribani 108 wa chuo cha Rich
Rice wa ngazi ya cheti wakiwa wamejipanga kuingia ukumbini kwa ajili mahafali
ya Kwanza katika chuo hicho walioanza masomo yao mwaka 2012
Picha zote na Valence Robert-Geita
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin