Mr Flavour aliwahi kufika Tanzania kwa ajili ya show na video yake iliyopita alifanya na mshindi wa big brother Dillish Mathew.
Hivi
sasa ametoa video mpya ya wimbo wake wa Black is Beautiful, kama
unapenda kazi zake au unapenda muziki kutoka Nigeria basi hii ni nafasi
yako ku-enjoy video hii.
TAZAMA HAPA CHINI
Social Plugin