WAKAZI WA KUTOKA KISIWA CHA TUMBATU WALIFIKA KWENYE UKAWA NA MABANGO YAO KIWANJA CHA KIBANDA MAITI |
MUASISI MZEE NASORO MOYO ALIFIKA KWENYE UKAWA |
MAKAMU WA KWANZA WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI AKIKUMBATIANA KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROD SLAA KULIA KATIBU MKUU WA NCCR MAGEUZI MUSONA |
MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR SHARIFF HAMAD AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU CHADEMA DR SLAA |
KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEFU HAMADI AKIWASALIMIA WANANCHI |
WANANCHI WAKISHANGILA |
WANANCHI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA UKAWA |
WENYEVITI WA UKAWA JAMES MBATIA NCCR MAGEUZI KUSHOTO PROFESA IBRAHIM LIPUMBA CUF KATIKATI NA KULIA NI MWENYEKITI FREEMAN MBOWE CHADEMA WAKIWASALIMIA WANANCHI |
ASKARI WA KIKOSI CHA FFU AKIWA KATIKA ULINZI |
WANANCHI WAKIWA NA MABANGO YENYE UJUMBE WA KUONYESHA SERIKALI TATU |
EMMANUEL MAKAID AKIWA ANASALIMIANA NA MZEE NASORO MOYO MUASISI |
WANANCHI WAKIWA MABANGO YAO |
MWANANCHI HUYU AKIONYESHA PICHA ALIYOIWEKA MGONGONI KWA YA RAIS MSTAAF WA ZANZIBAR NAYE ANATAKA TATU via>>jestina-george.com |
Social Plugin