Hii ni picha ya mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo Mkoani Kagera vijijini ambae amelalamikiwa na wazazi kufuatia wanafunzi wa shule hiyo kushindwa kusoma vizuri kisa makalio yake makubwa ambayo kipindi akiwa anaandika somo ubaoni huku nyuma yamekuwa yakitikisika kwa staili ya kipekee.
Kwa mujibu wa mzazi huyo ambaye alimvizia dada huyo akiwa kwenye nyumba za walimu na kumpiga picha inayoonekana hapo juu alisema
" Unajua huyu mwalimu anafundisha kidato cha kwanza huku ifahamike wanafunzi wengi wa umri huo ni wale wanaobarehe hivyo inawauwiya vugumu kuvumilia shughuri aliyonayo mwalimu huyo nyuma" Alisema mzazi huyo ambae aliomba hifadhi ya jina lake.
via babamzazi.com
Social Plugin