Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Audio_MSIKILIZE NAIBU MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA DAVID NKULILA AKIKANUSHA TUHUMA ZA UKAWA KUHUSU MANISPAA KUFANYA UBADHILIFU WA MAMILIONI YA FEDHA

Naibu mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga David Nkulila akizungumzia leo kuhusu halmashauri ya manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga kukanusha tuhuma zilizotolewa na umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA) wakati wa mkutano wao mjini Shinyanga katika viwanja vya Shy-com siku ya Jumamosi wiki iliyopita kwamba manispaa hiyo imefanya ubadhilifu wa shilingi bilioni 1.2.
MSIKILIZE HAPA NAIBU MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA DAVID NKULILA AKIZUNGUMZIA KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA UKAWA KWAMBA SHILINGI BILIONI 1.2 ZIMEHUJUMIWA NA MANISPAA HIYO

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com