Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro muda mfupi uliopita.
Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha.
Baadhi ya abiria wakiwa wamechanganyikiwa baada ya basi hilo kupata ajali
Magari yakiwa yamesimama ili kutoa msaada kwa abiria hao.
Social Plugin