Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

COPY & PASTE--INASEMEKANA DIAMOND KAMWIBIA WABABA MTUKA WIMBO WA KITORONDO,SIKILIZA NGOMA ZOTE MBILI HAPA

INASEMEKANA Diamond Kamwibia Wababa Mtuka Baadhi Ya Mashairi PamoJa na Idea Mzima ya Nyimbo Yake Ya KITORONDO
Track Ya Wababa Inasemekana  Imetoka Miaka Miwili Iliyo Pita[2012] iLa Haikupata air Time Yakutosha kwenye RADIO STATION Za BONGO
 Track Yenyewe Ya Wababa Hii Hapa Unaweza Isikiliza,
Halafu ya chini yake ni ya Diamond aliyodai imevujishwa na mtu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com