GARI LA MAGAZETI YA MWANANCHI LAPATA AJALI .LADAIWA KUUA HUKO MARA
Thursday, May 08, 2014
"Gari la kusambaza Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi limegonga na kuua katika daraja la Kirumi mpakani mwa wilaya ya Rorya na Butiama Mkoani Mara leo asubuhi.(Picha zote na Augustine Mgendi)
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin