HAYA NDIYO MAMBO 8 UKIFANYA LAZIMA MPENZI WAKO ATULIE ,HAKUNA UCHAWI WALA NDUMBA HATA ULAZIMA WA KUTUMIA MABAVU



1)  Ili mwenza wako atulie hakikisha unajua nini hapendi: yaani ni hivi hakikisha kitu ambacho hutaki akufanyie vile vile na wewe usifanye  kitu ambacho hapendi.

2) Uongo: uongo ni mbaya sana kwani unapomdanganya mara kwa mara na akigundua anaweza kupoteza uaminifu kwako na pia inaweza kumfanya asitulie atoke nje, kutafuta njia mbadala.

3) Mwache ajisikie na yeye ameshinda wakati mwingine, kwa mfano mkiwa mnabishana kitu au kugombana jaribu kuwa mdogo ili ajione na yeye ni mshindi, ila usifanye hivyo mara zote kwani atazoea.

4) Penda sana ndugu zake, pia jichanganye kwenye mahafali ya kifamilia, misiba hata harusi muenyeshe.

5) Muulize nini anataka haswa mkiwa kwenye kufanya mapenzi, muulize usiogope kuwa huru kabisa.

6) Usimuite jina lake mpe jina lingine la kimapenzi, wala sio bby au swt kwani yameshazoeleka sana na pia labda ameshaitwa sana hayo majina, tafuta hata lingine kama Mumy, My lady, princess na mengine mengi mazuri.

7) Mtoe out siku moja moja, nenda nae dinner au hata ice creem
8) Na kingine Mkumbushe Kusali kila mara kabla ya kulala na kuamka
Kazi kwako fanya hayo utapata majibu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم