Mtoto mdogo amewashangaza walio wengi baada ya kuzaliwa na vidole 34…Akshat Saxena ana vidole 7 katika kila mkono wake na pia ana vidole 10 katika kila mguu wake lakini hakuna dole gumba
Mama wa mtoto huyo “Amrita” alisema: "nilikua na furaha pale nilipojifungua mtoto huyo kwakuwa alikuwa mtoto wetu wa kwanza lakini nilipomuangalia kwenye vidole nilishtuka sana.."
'Niliingia intanet na kuandika rekodi za mwanangu nikashtuka kuona mwanangu amevunja rekodi kwa kua hiyo rekodi ilikua ikishikiliwa na mtoto wa kichina aliyekuwa na vidole 31(15mkononi na 16 miguuni)"..(alisema mama huyo)
Akshat kutoka India kaskazini ameenda kufanyiwa surgery kuondoa vidole vilivyozidi na madaktari wanajitahidi kutengeneza dole gumba kutokana na vidole hivyo watakavyotoa…
Social Plugin