Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MASKINI KAKA HUYU,AJERUHIWA VIBAYA NA MAJAMBAZI KISHA KUPORWA GARI LAKE LIKIWA NA MAFUTA YA PETROLI


Dereva wa gari la mafuta lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Karatu Stefano John (42) akiwa amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambapo waliondoka na gari hilo aina ya Scania lenye namba za usajili T 116 BKQ na tela namba T 959 AVH likiwa na lita elfu 40,000 za mafuta aina ya petroli. 
Picha na John Gagarini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com