Hii ni moja ya Mitambo ya Digital ikiwa imefungwa Wilayani Kahama tayari kuanza kazi leo |
Baadhi ya Mitambo ya Digitali ya Kisasa iliyofungwa
Mtambo wenyewe
Mkurugenzi wa Matangazo kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Mchini Habbi Gunze akisamiliana na Mkurugenzi wa StarTIMES ALZX AI wa kanda ya Ziwa baada ufunguzi huo
Huu ni Mji wa Kahama Gold Town kama unavyoitwa na wakazi wa Kahama
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya na Mkurugenzi wa Matangazo TCRA Habbi Gunze
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akiangalia mitambo ya Digital katika ufunguzi huo
Mkurugenzi wa Matangazo kutoka TCRA Habbi Gunze mwenye fulana ya mistari akiwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya katikati pamoja na Mkurugenzi Star Times Kanda ya ziwa Alzx Ai
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akikata utepe kuashiria Mitambo ya Digital kuanza kufanya kazi Kahama.
DC akionyeshwa Mitambo hiyo
Mpesya akiwahutubia Wageni Waalikwa katika sherehe hizo
MITAMBO
Mkurugenzi wa Matangazo TCRA Habbi Gunze akisoma Taarifa Mamlaka hiyo.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA http://mihayorj.blogspot.com/
Social Plugin