MATANGAZO YA TELEVISHENI KWA MFUMO WA DIGITALI YAZINDULIWA RASMI WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA

 Mandhari ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga 

 Hii ni moja ya Mitambo ya Digital ikiwa imefungwa Wilayani Kahama tayari kuanza kazi leo


 Baadhi ya Mitambo ya Digitali ya Kisasa iliyofungwa

 Mtambo wenyewe

m
 Mkurugenzi wa Matangazo kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Mchini Habbi Gunze akisamiliana na Mkurugenzi wa StarTIMES ALZX AI wa kanda ya Ziwa baada ufunguzi huo

 Huu ni Mji wa Kahama Gold Town kama unavyoitwa na wakazi wa Kahama

 Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya na Mkurugenzi wa Matangazo TCRA Habbi Gunze 

 Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akiangalia mitambo ya Digital katika ufunguzi huo

 Mkurugenzi wa Matangazo kutoka TCRA Habbi Gunze mwenye fulana ya mistari akiwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya katikati pamoja na Mkurugenzi Star Times Kanda ya ziwa Alzx Ai

 Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akikata utepe kuashiria Mitambo ya Digital kuanza kufanya kazi Kahama.

 DC akionyeshwa Mitambo hiyo

 Mpesya akiwahutubia Wageni Waalikwa katika sherehe hizo

 MITAMBO

Mkurugenzi wa Matangazo TCRA Habbi Gunze akisoma Taarifa Mamlaka hiyo.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA http://mihayorj.blogspot.com/

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com