MZUKA UKIZIDI UNA RAHA YAKE,SOMA HAPA ,HUYU SIYO MHALIFU,NI KATIKA SHINDANO LA WAENDESHA BAISKELI HUKO TABORA

Hakuwa ni mhalifu kama anavyoonekana kushikwa na askari Polisi hao bali ni mshindi wa kwanza katika mashindano ya Baiskeli yaliyofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi ambapo mshindi huyu alipitiliza kiwango cha kuzunguuka uwanja huo kwakuwa walitakiwa wazunguuke mara 30 lakini alipitiliza na kuhitaji azunguuke zaidi ya mara 50 ndipo akazuiliwa huku akiwa amewashinda wenzake zaidi ya 45 waliokuwa wameshiriki mashindano hayo.
Wakati kipenga cha kwanza kilipopigwa kuashilia kuanza kwa mbio hizo za mzunguuko wa raundi 30

 via>>kapipij blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم