Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PICHA-SHUHUDIA HAPA TUKIO ZIMA LA MAZISHI YA MSANII RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE NA MTOTO WAKE LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM



Picha ya marehemu Recho ikiwa juu ya jeneza lake leo

Majeneza yenye miili ya Recho na mwanaye.Miili ya Rachel Haule 'Recho' na mwanaye ikishushwa kwenye gari maalum baada ya kuwasili Viwanja vya Leaders ikitokea nyumbani Palestina, Dar tayari kwa kuagwa.Waombolezaji wakiwa na simanzi baada ya mwili kuwasili Leaders.





Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi.
Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.
Wasanii wa Bongo Muvi kutoka kushoto Ant Lulu akiwa na wenzake.
Watumishi wa Mungu katikati wakifanya maombi baada ya maziko.
Mchumba wa marehemu George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Rachel na mwanae
Msanii Blandina Chagula 'Johari' akiweka mchanga
Mjomba wa marehemu, Evance Haule (kushoto) akiweka mchanga katika kaburi la marehemu.
Ndugu wa marehemu wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Recho Haule.
Mafundi wakichanganya zege.
Mafundi wakisawazisha zege.
(PICHA NA RICHARD BUKOS, DENIS MTIMA, MAYASA MARIWATA, SHANI RAMADHANI, HAMIDA HASSAN, IMELDA TARIMO/GPL)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com