Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PICHA-TAZAMA PICHA BAADA YA MSANII ADAM KUAMBIANA KUFARIKI DUNIA GHAFLA LEO HII AKIWA LOCATION

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali  yaMama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu.
...Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.
Hospitali  ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana.
...Msanii aliekuwa akicheza filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.
...Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana.
Rais wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiwa analia nje ya chumba cha maiti Muhimbuli.
Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya chumba cha maiti katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mchana wa leo.

(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com