Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana.
Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii.Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao.
Juu ni baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa na wataalamu wa masuala ya uchambuzi wa bajeti kwa mrengo wa kijinsia.
Mada ikiwasilishwa na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao.
Juu ni wahariri wakichangia mada anuai katika mkutano huo
Uwasilishaji mada kwa hisia! Mmoja wa wadau wa TGNP akiendesha mjadala mara baada ya mada kwenye mkutano huo.Mkutano wa TGNP na wahariri wa habari kuzungumzia uchambuzi wa bajeti kwa muktadha wa kijinsia.
Social Plugin