Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PICHA YA MFANYAKAZI WA IKULU ALIYEFARIKI GHAFLA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiak7GN1_06m0qgRiH0Imk0mL3Iy9aEm5LArbE6_oJIlefVmb4h0HBAmzPI0mI3mYp-y9C2oWPaZM43f1ZGI4d0GstLMMwoEsap1qzeRG3-LwoFD0Rfuz6JuF6WyOGruOQGjpUciSMj0S9z/s1600/IMG_6188.jpg 
Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake. Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8pntIcqFQUM18JU1hk5FXdFVaSUosVvzUMh4agAFHCWyBYK1_JWbxws41swDlBMNONFKaW3cMTy09R3jI20saGGRaibPiZax3E7zO_nU9ZDSPIbnoJaULoJC41m3KsgWveKuFTGDkBD_-/s1600/IMG_6174.jpgMwili wa marehemu ukiombewa kabla ya kupelekwa shambani kwake Kisarawe kwa mazishi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwhwK6_L5A2EcKhIxr-r1TebGGIMMsCdU3HxFfGTPC8dcFQzybFueCCihhyXYESh34gZq0ZD0x0DXCCOuZxc2LVYwSVe7EJhEcdSCg1r0AcGLSb9mrFhMBs3pJbNEb8D1gCVK1p7JoDoFb/s1600/IMG_6140.jpgViongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com