Baadhi ya wafanyakazi wa TV1 wakiwasili msibani
Wafanyakazi wa TV1 wakiwa nyumbani kwa marehemu.
Baadhi ya waombolezji nyumbani kwa marehemu
Nyumbani kwa marehemu mbezi makonde
Mwanamuziki Mad Ice akiwa msibani nyumbani kwa marehemu
|
Pichani ni Anton Mtaka ambaye ni DC wa wilaya ya Mvumero hapa Morogoro, kulia ni raisi wa wasanii Mwakifamba wakiingia eneo la hapa Mochwari tayari kwa maandalizi yote kuwa sawa. Mbonie Masimba leo ni mtu wa kulia kila mara akikutana na ndugu jamaa na marafiki, kweli huwezi amini kama Tyson hatunae tena, aliyevaa nguo ya njano yenye vidoti doti ameinama chini ni mama mzazi wa Mboni ambaye tulikuwa nae toka juzi kwenye shughuli ya kuwagaia wanafunzi madawati.
Team ya The Mboni Show ikiwa kwenye picha ya pamoja, hawa niliosimama nao ndio waliokuwa kwenye ile gari pamoja na marehemu Geogre Tyson na hapo hali zao si nzuri sana kila mmoja analalamika maumivu kwenye sehemu zao za mwili. Halafu wawili wamekimbizwa hospital ya Mwimbili kwa matibabu ya haraka.
David mmoja wa camera man wa The Mboni Show akizungumza na waandishi wa habari. |
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin