SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND- unaitwa KITORONDO
Saturday, May 10, 2014
Baada ya kunyakua tuzo saba kwa mpigo Nassib Abdul “Diamond Platnumz” ameachia nyimbo yake nyengine kwa jina Kitorondo ambapo ameipiga kwa mtindo ambao wengi hawaja mzoea nayo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin