SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO WA MSANII CHIPUKIZI EMMA B- Unaitwa URUDI
Monday, May 12, 2014
Huu hapa ni wimbo wa Msanii Chipukizi katika Game ya Muziki wa kizazi kipya Tanzania EMMA B. wimbo huu unaitwa URUDI na umefanywa chini ya Producer Raidon Presenter katika Studio za Hardtone Redcord Kahama.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin