Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAARIFA KAMILI KUHUSU KUSITISHWA KWA HUDUMA YA FAST TRACK KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA SHINYANGA

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Shinyanga kupitia ccm  Azza Hilal akizungumza kwenye mkutano wa wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Shinyanga na kueleza kutoridhishwa kitendo cha bodi ya afya mkoa wa Shinyanga kupandisha gharama za matibabu katika hospitali ya mkoa ambapo amesema ni kutowatendea haki wananchi

BOFYA HAPA KUSOMA TAARIFA KAMILI KUHUSU SAKATA LA HUDUMA YA FAST TRACK KUSITISHWA NA SERIKALI LEO

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com